umukagame JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 1,044 Reaction score 675 May 15, 2020 #1 Shkamooni wakubwa! Niende moja kwa moja. Je, kuna yeyote anayepitia au aliyepitia kuwa na mahusiano ya mbali mfano mikoa tofauti? Kipi ni kigumu, na je mnakabili vipi hali za upweke Karibuni tujadili
Shkamooni wakubwa! Niende moja kwa moja. Je, kuna yeyote anayepitia au aliyepitia kuwa na mahusiano ya mbali mfano mikoa tofauti? Kipi ni kigumu, na je mnakabili vipi hali za upweke Karibuni tujadili
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,576 Reaction score 29,713 May 15, 2020 #2 CHANGAMOTO KUBWA NI UAMINIFU MKUU UTAKULA NA YEYE ATALIWA TU
umukagame JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 1,044 Reaction score 675 May 15, 2020 Thread starter #3 Perfectz said: CHANGAMOTO KUBWA NI UAMINIFU MKUU UTAKULA NA YEYE ATALIWA TU Click to expand... Mkuu kuliwa nako ni changamoto
Perfectz said: CHANGAMOTO KUBWA NI UAMINIFU MKUU UTAKULA NA YEYE ATALIWA TU Click to expand... Mkuu kuliwa nako ni changamoto
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,484 Reaction score 11,174 May 15, 2020 #4 Hakuna mapenzi ya mbali, wewe kama mpenzi wako yupo mbali mfate ukouko, iyo ikishindikana fanya ustaarabu mwingine tu!
Hakuna mapenzi ya mbali, wewe kama mpenzi wako yupo mbali mfate ukouko, iyo ikishindikana fanya ustaarabu mwingine tu!
Safina Bahari Member Joined Apr 5, 2020 Posts 38 Reaction score 42 May 15, 2020 #5 umukagame said: Shkamooni wakubwa! Niende moja kwa moja Je, kuna yeyote anayepitia au aliyepitia kuwa na mahusiano ya mbali mfano mikoa tofauti? Kipi ni kigumu, na je mnakabili vipi hali za upweke Karibuni tujadili Click to expand... Fanya kila linalowezekana muishi pamoja..vinginevyo hakuna mahusiano hapo..!!
umukagame said: Shkamooni wakubwa! Niende moja kwa moja Je, kuna yeyote anayepitia au aliyepitia kuwa na mahusiano ya mbali mfano mikoa tofauti? Kipi ni kigumu, na je mnakabili vipi hali za upweke Karibuni tujadili Click to expand... Fanya kila linalowezekana muishi pamoja..vinginevyo hakuna mahusiano hapo..!!
makenze JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 356 Reaction score 217 May 15, 2020 #6 Mapenzi ya mbali yanasaida kama haupendi kusex
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,294 Reaction score 114,563 May 16, 2020 #7 Changamoto kubwa sana ni uaminifu, nguzo ya mapenzi ya mbali ni mawasiliano bora kati yenu, ukiona mawasiliano yanasua sua ujue tayari hauko peke yako. Ni magumu mno ila kikubwa ni uaminifu Sent from my iPhone using JamiiForums
Changamoto kubwa sana ni uaminifu, nguzo ya mapenzi ya mbali ni mawasiliano bora kati yenu, ukiona mawasiliano yanasua sua ujue tayari hauko peke yako. Ni magumu mno ila kikubwa ni uaminifu Sent from my iPhone using JamiiForums