Forex me naifikiria ila kwa ninavyoona ooho!Forex
Baada ya kuvutiwa na uzi wa kwanza kabisa. Mzee nikapakua vitabu msuli ile ile mixer YouTube. Nikaanza kupiga practical ya live cent ya 1$ kwa 100$
Hahahah nusu mwaka no development leo nikipata profit ya 5$ kesho nachoma 20$
Nikapiga chini na nishaisahau
Yani unazungumzia dola 100 Tena ya cent account wakati Kuna watu wamechoma dola zaidi ya 5000 na bado wapo kwenye game.Forex
Baada ya kuvutiwa na uzi wa kwanza kabisa. Mzee nikapakua vitabu msuli ile ile mixer YouTube. Nikaanza kupiga practical ya live cent ya 1$ kwa 100$
Hahahah nusu mwaka no development leo nikipata profit ya 5$ kesho nachoma 20$.
Nikapiga chini na nishaisahau
Muda Mzee ilibidi nikomae na mengineYani unazungumzia dola 100 Tena ya cent account wakati Kuna watu wamechoma dola zaidi ya 5000 na bado wapo kwenye game ..
Uliziweka mkoa ganiKipindi niko first year chuo nlinunua bodaboda mbili aisee io changamoto yake usipime stres tupu madereva pasua kinoma nikapiga chini nikaziuza zote aisee
Wewe mimi kabisa hii biashara niliitamani nimenunua boda nikampa dereva mwanzoni hela ya hesabu wanaleta vizuri kati wanabadilika mpaka hela ya hesabu ikifika mimi ndio nimtafute na kumfata kwake.Kipindi niko first year chuo nlinunua bodaboda mbili aisee io changamoto yake usipime stres tupu madereva pasua kinoma nikapiga chini nikaziuza zote aisee
Kilimo cha nini mkuu?? Changamoto ilikuwa nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]huyo hapana aiseeBishara ya kuza dawa za chooni aiseee nilikutana na changamoto Sana ila hili la mteja mmoja kunikabidhi dekio chafu ni lisugue kwa dawa likitakata ndo anunue sikulivumilia na kupiga chini hiyo biashara
Dadekii hivi unaangalia vitu gani mkuu embu npe ujanja maana mpaka apps kama footmob za kuangalia statistics za timu nlkuwa nayo lkni wapMkuu hii inaitaji akili na kipaji pia alafu usipingane na nafsi yako huku ukiwa risk taker Mimi niliwai better 450 bet power team 24 nikachomoka na laki Saba na sitina tisa elfu kila mtu alishika mdomo