Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Wadau naomba wenye ujuzi au ufahamu katika masuala ya projector wanisaidie.
Nataka kununua Projector kwa ajili ya kuangalizia Tv/Movies. Nahitaji kufaham kama kuna mtu anafahamu vitu vya kuzingatia unapotaka kununua projector.
Bei ianzie 400,000 - 800,000. Kwa matumizi ya nyumbani tu home theatre.
Nmejaribu kuangalia nmeona kuna projectors wanasema ni HD na wanakuja kuzungumzia vitu hivi.
Color depth
Lumen
Lamp hours
Screen Resolutions
Na mengine ambayo mnayafaham naomba mnipe darasa.but nmekuta nyingine wanaandika kuwa zinafaa kwa church,school n.k what dya they mean.
Mahitaji yangu.
Iwe na HD
Iwe inaweza kuplay flash directly
Iwe very clear
Iwe na ports za kuchomeka decoders
Iwe na good durability.
Naangalizia movies/tv
Naombeni utaalamu wenu