Meneja CoLtd
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 140
- 178
Udongo unasaidia kwel?Na kula udongo
Tusaidiane namna ya kuacha kula udongo piaUdongo unasaidia kwel?
Yah kama utajizoesha kula mara kwa Mara konakua ndo kilevi chako💔Pipi kali ni kilevi?????
Udongo upi? Au huu wanaopenda kula wajawazitoTusaidiane namna ya kuacha kula udongo pia
NdiyoUdongo upi? Au huu wanaopenda kula wajawazito
watu wanasmoke mpaka serikali inaplan kuwaandalia smoking roomKumbe hadi leo kuna watu wavutao sigara? wonderful!
Jesus is Lord
Hh ganja sindobalaa hilo mkuuKifua kikiuma vizuri utaacha mwenyewe.#Legalize Ganja.
Hili la udongo sina utaalam nalo, ila naimani utalipatia ufumbuzi tuNdiyo
yaani ... ila nadhani pia wavutaji wamepungua, maana ni kama vile siwaoni kitaawatu wanasmoke mpaka serikali inaplan kuwaandalia smoking room