matokeotz
Member
- Nov 30, 2016
- 30
- 10
Mi sijaifungua app yenyewe ila nahisi hii comment inajitoshelezaKwanza watumiaji wengi wa app ya ni wanafunzi wa secondary ,pili hii app yako itakuwa inatumika kipindi cha matokeo ,tatu kumbuka wanafunzi wengi hawana access ya internet wengi utumia internet cafe kupata matokeo ,alaf mwanafunzi kudownload app kwa ajili ya matokeo tu ni ngumu .kwaiyo ebu fanya uongeze vitu ili app yako itumike mda wote ikiwezekan uongeze kundi la watumiaji .
Sent using Jamii Forums mobile app