Hapana mkuu,ila athari kubwa zipo Dar kutokana na mji kutokupangwa vizuri...karibuKumbe ni kwa walio dsm tu?
Sisi hapa Dodoma hata tone hatuna!Kumbe ni kwa walio dsm tu?
nipo mji wa mpakani huku na kennya hakika mvua inanyesha. kisawasawa kijiografia wanaoathirika na mafuriko ni wa upande wa kenya. Kule na kwenyewe madhara ni makubwa sana.Hapana mkuu,ila athari kubwa zipo Dar kutokana na mji kutokupangwa vizuri...karibu
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mkuu,hivi humu kila huyo anajua ulipo?Sisi huku tumejiandaa vya kutosha kukabiliana na el nino ila mpaka sasa hata mvua za kawaida bado hazijaanza ni kiangazi kikavu vumbi tupu
Poleni wakuu, yatapita tu.Kwenye hoja direct, mwana jamvi kutokana na mvua zinazoendelea hasa katika jiji la Dar es salaam huku Kimara hasa barabara ya Bonyokwa imeharibika sana.
Vipi wewe huko ulipo?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kumbe unakaa hapa porini?Mabwepande mvua tangu asubuhi haijakata!
ni humu humu Tanzania kuna maeneo mvua hata za vuli hazijaanzaMkuu,hivi humu kila huyo anajua ulipo?
Kama kila mmoja anajua ulipo,nijulishe basi hata mimi nijue ni wapi huko ulikojiandaa na El nino halafu hata mvua za kawaida hakuna.