Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Wanajukwaa hebu tukumbushane matamko ya mwendokasi kutoka kwa viongozi wa serikali, tuandikie tamko unalolikumbuka ili tuhifadhi matamko haya maana ni sehemu nzuri ya kujifunza kwa viongozi wajao. Mwisho wa mjadala huu nitayakusanya pamoja na kuyaleta hapa jukwaani kwa kutengeneza uzi maalumu kwa ajili ya kuyahifadhi na tutakuwa tunayaupdate mara kwa mara kadiri wanavyoyatoa maana si vyema urithi huu ukapotea.
Naanza na hili:
1. Nyumba zote lazima zipigwe rangi-DC Kinondoni
Naanza na hili:
1. Nyumba zote lazima zipigwe rangi-DC Kinondoni