Tina ana kasuku kadhaa na cage kadhaa kwa ajili ya kubebea hao kasuku.Akiweka kasuku wanne wanne katika kila cage,cage moja inabaki tupu.Akiweka kasuku watatu watatu katika kila cage,kasuku mmoja anabaki nje.Tina alikuwa na KASUKU wangapi na CAGE ngapi?[onyesha njia].
We ni bad news,yaani unatisha mkuu,congrats!najaributufikirie x inawakikisha idadi ya kasuku na y idadi ya cages; kishax/(y - 1) = 4 na (x - 1)/ y = 3 kisha inakuwa;4y - 4 = x na 3y = x - 1. ukifanya hayo maswali kwa njia yoyote utapata x = 16 na y = 5.hivyo alikuwa na cages 5 na kasuku 16
linanichanganya sana, labda ningejua hao kasuku wamekufa au ni hai?,
pia hizo cage hazijatoboka kweli?
najaribu
tufikirie x inawakikisha idadi ya kasuku na y idadi ya cages;
kisha
x/(y - 1) = 4 na (x - 1)/ y = 3
kisha inakuwa;
4y - 4 = x na 3y = x - 1.
ukifanya hayo maswali kwa njia yoyote utapata x = 16 na y = 5.
hivyo alikuwa na cages 5 na kasuku 16
naona wife kakupa desa hapo Pota,mmependezaaaa........