Tupac wa Mwakaleli a.k.a Tupilike gwaku Mwalaleli

TUPAC WA MWAKALELI

JF-Expert Member
May 23, 2014
354
0
JF mpooo,
kwanza kabisa nawasabahi kwa jina la Mwezi Mungu wa Mbinguni, yule aliyeibariki Israel na kuwalaani wote wailainio Israel.
Baada ya salamu kwa ufupi sana, napenda nijieleze kuhusu hamu yangu juu ya wadada wa JF. Nimekuwa guest kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, lakini wadada wa JF wamenisukuma hadi nimekata shauri niwaingilie humuhumu ndani. Hebu pata picha, topic zinazoletwa na lara 1 au kipicha cha Zinduna, usipo shituka itabidi ukapimwe kama hauna viashiria vya uhanithi na ushoga.
Tatu, kuna watu kama Excel huyu ni mtu maalum sana kuzipasua mbavu zangu..... JF ina raha sana, nipokeeni mwana wa mwenzenu
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom