Keffe D (mjomba wa Orlando Anderson) alikiri kila kitu, aliweka wazi hatua kwa hatua kilichotokea Las Vegas usiku wa tarehe 7 Septemba 1996.Hapa kuna kilichotokea: Tupac, Suge Knight na marafiki wachache walikwenda Las Vegas kuangalia pambano la Mike Tyson. Baada ya pambano, mwanachama wa Death...