Tupac 'kufufuka' mwaka huu 2014?

Tupac 'kufufuka' mwaka huu 2014?

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,702
Kwa wale wapenzi wa Hip Pop jina hili sio la kuuliza na wale wanaofuatilia kwa ukaribu zaidi watakuwa wanakumbuka mazingira yaliyozunguka mauti yake.
Zimekuwepo fununu nyingi na uzushi lakini leo nimekutana na hii. Sijaweza kufanya tafsiri ya Kiswahili lakini Kingereza chake natumaini kinaeleweka kwa wengi hasi sisi wadau wa Division Five.
Iangalie alafu uongeza unachodhani kinawezekana. BequgP-CIAA47nr.jpg
 
Na waliofuatilia zaidi kuna kitu kinaitwa 'seven days theory'
 
Back
Top Bottom