Chakuongezea cocktail maarufu inayotengenezwa kupitia tequila ni margarita cocktail!, vilevile tequila ukinywa dry imekuwa kama ni utamaduni kunywa huku unaramba ndimu/limao na chumvi, hata hiyo cocktail ya margarita glass yake kwenye miisho huwekwa chumvi!.