kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,301
- 6,119
Je shortcut ya mpesa kama vle kutuma pesa ipo au??ulichosema ni kweli hakuna mtiririko kama huo lakini VODACOM wanayo ya vifurushi vya mda wa maongezi mf.unataka kifurushi shortcut unabonyeza ( *149*60*1000# Hapo tayari huna haja ya kubonyeza *149*01#
Sent using Jamii Forums mobile app

Download app ya Nala inarahisishaJe sh
Je shortcut ya mpesa kama vle kutuma pesa ipo au??
Okky nmekupata mkuuTatizo wanabadilisha menyu kila kukicha...... Pia kumbuka Menu za mtandao kama VODACOM huzo zinatofautiana Kanda hadi kada (Manda ya ziwa, kanda ya Mashariki, kanda ya Kaskazin, kanda ya kusin, kanda ya kati)
Mfano mtu DSM akikalili 149*01*02#, akienda Arusha akabinyeza hivyo ataletewa vitu vingine tofauti.
Yeah naona nala wamejitahidi mkuu