A Father, anahitaji CHEREHANI ya kusukuma
kwa miguu (manual), nzima, bora,
mpya au iliyotumika, aina yoyote PAFF, SINGER au BUTTERFLY. Shilingi ngapi za
Kitanzania? Bei inazungumzika?
Inamhusu anayepatikana 'Muheza'
au 'Tanga Mjini'.
Mawasiliano '0682930078' au kwa Private Message (PM).