N narudiludewa New Member Joined Aug 11, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Aug 11, 2013 #1 watanzania wenzangu, naomba tuombe amani iwe njia pekee ya kuelekea kuipata amani ambayo inaelekea kupotea. njia nyingine yeyote tutakayotumia itakuwa na gharama kubwa kuliko faida tutakayoipata.
watanzania wenzangu, naomba tuombe amani iwe njia pekee ya kuelekea kuipata amani ambayo inaelekea kupotea. njia nyingine yeyote tutakayotumia itakuwa na gharama kubwa kuliko faida tutakayoipata.