Tunza kichinjio chako tuipige chini CCM

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,604
CCM hawawezi kutudanganya kwa ahadi hewa miaka nenda rudi. Wanatuita sisi wapumbavu na malofa sababu wamekuwa wakitumia uongo ule ule kutudanganya.

Mwaka huu we are sick and tired of fake promises.

Tunza kichinjio chako, waelimishe na kuwahimiza wenzako ili TUIPIGE CHINI CCM.
 
 
 
Watanzania mwaka huu wakichagua ccm kweli ntajua wapumbavu
 
Karne hii tunachagua chama kinachonunulika, wagombea wa kukodi, never fo ever hatukubali kamwe kataa ukawa kwa nguvu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…