Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,547 Reaction score 9,040 Jul 6, 2026 #21 Amani ipi Hiyo ikiwa watu wanatekwa na kufungwa bila sababu za msingi.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 26,118 Reaction score 71,377 Jul 6, 2026 #22 Halotel ndo wenye huu ujinga
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,395 Reaction score 29,918 Jul 6, 2026 #23 Masagala said: Amani ipi Hiyo ikiwa watu wanatekwa na kufungwa bila sababu za msingi. Click to expand... Amani haihusiani na haki, unapodhulumiwa unatakiwa uwe mtulivu, tulia kwani haki ya mtu haipotei, hii ni kulingana na katiba ya CCM.
Masagala said: Amani ipi Hiyo ikiwa watu wanatekwa na kufungwa bila sababu za msingi. Click to expand... Amani haihusiani na haki, unapodhulumiwa unatakiwa uwe mtulivu, tulia kwani haki ya mtu haipotei, hii ni kulingana na katiba ya CCM.
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,292 Reaction score 28,722 Jul 6, 2026 #24 nkoge said: Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Tuilinde amani ni mtaji wetu, Tuitunze, Tusikilizane, Tuheshimiane, Tushikamane. Click to expand... Mbona sijaona maneno tutendeane haki,tusiibiane,tulindane tusitekwe ama kutekana?
nkoge said: Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Tuilinde amani ni mtaji wetu, Tuitunze, Tusikilizane, Tuheshimiane, Tushikamane. Click to expand... Mbona sijaona maneno tutendeane haki,tusiibiane,tulindane tusitekwe ama kutekana?
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,179 Reaction score 54,628 Jul 6, 2026 #25 Jambo la kwanza kabisa tutunze amani hayo mengine yote yatafuata Kaa nje ya Tanzania ndipo utagundua Tanzania ni tamu 🇹🇿❤️
Jambo la kwanza kabisa tutunze amani hayo mengine yote yatafuata Kaa nje ya Tanzania ndipo utagundua Tanzania ni tamu 🇹🇿❤️
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,124 Reaction score 131,849 Jul 6, 2026 #26 Wadanganyifu tulinde amani ili watawala wazidi kujilimbikizia mali za umma 🔥
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,644 Reaction score 15,415 Jul 6, 2026 #27 😀😀😀😀
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,647 Reaction score 196,314 Jul 6, 2026 #28 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,208 Reaction score 20,949 Jul 6, 2026 #29 Watawala ndiyo hasa wana jukumu la kutunza amani,matendo yao ndiyo yanaamua kuwepo amani au isiwepo!!
Watawala ndiyo hasa wana jukumu la kutunza amani,matendo yao ndiyo yanaamua kuwepo amani au isiwepo!!
mr pipa JF-Expert Member Joined Jul 26, 2021 Posts 4,303 Reaction score 9,200 Jul 7, 2026 #30 Tudumishe amani kwa usalama wetu na kwa maendeleo ya taifa letu