Borat69 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,522 Reaction score 1,761 Jul 19, 2012 #1 Tunisia former President Zine El Abidine Ben Ali sentenced to Life in Prison, kwa mauaji yaliyotokea katika harakati za ukombozi wa Tunisia. Source : Al Jazeera.
Tunisia former President Zine El Abidine Ben Ali sentenced to Life in Prison, kwa mauaji yaliyotokea katika harakati za ukombozi wa Tunisia. Source : Al Jazeera.
C CAY JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 505 Reaction score 105 Jul 19, 2012 #2 Tunamsubiri na JKilaza atakapomaliza utawala wake!
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jul 19, 2012 #3 CAY said: Tunamsubiri na JKilaza atakapomaliza utawala wake! Click to expand... kwani utawala wake utaisha lini?!, kama wewe unaona kuwa una-grounds za kumshitaki ni bora ulianzishe sasa maana utawala wake hautaisha milele.
CAY said: Tunamsubiri na JKilaza atakapomaliza utawala wake! Click to expand... kwani utawala wake utaisha lini?!, kama wewe unaona kuwa una-grounds za kumshitaki ni bora ulianzishe sasa maana utawala wake hautaisha milele.