Tungekuwa mbali leo bila Rais Samia

Mjambiani mpumbavu anawaza kuvishwa ngozi na usinga
 
MKUU CCM ina hitaji MTU mzalendo nasio MTU ambae anaamini bila wazungu hatuwezi kuendelea.

Moja ya Azimio la Arusha ilikua ni Ujamaa na kujitegemea. Nasio kutegemea wageni waje watujengee nchi yetu.

Hii mindset niliiona ndani ya MH Magufuli ya kuleta mapinduzi ya ujamaa na kujitegemea.

Asikwambie MTU MH Magufuli angefufuka leo Angekuelezea Uadui Aliokua anapigwa na watu wandani na wanje ya nchi.

Nakumbuka nyimbo ya Bob Marley BUFFALO SOJA akieleza unyonyaji wa mabeberu na vibaraka wake katika bara la Africa.

Naamini Magufuli Amelala lakini Mungu bado Anaye MTU Ambaye Atarudi na roho ya Magufuli kutimiza kazi njema Alioiacha kiongozi wetu Magufuli.
Acha gubu wewe mataga, paza sauti kudai katiba mpya
 
We sema tu ukweli Kunyang'anya mafisadi
 
Kwenye issue ya mbolea serikali iingilie kati bei iko juu sana, waziri wa kilimo upo?
 
Upigaji kwa mama,umekua mkubwa,wanaopewa madaraka,wanapiga bila hofu,nayeye kasema WAJIPIMIE,kazingua sana.
 
Leo ndio nimegundua mara Mia tungebaki na Mwendazake kuliko huyu ambaye hana uchungu na nchi! Maisha yamekuwa magumu maradufu hali ni mbaya bei ya mafuta sukari yaani kila kitu juu mbaya zaidi Bora ingekuwa juu lakini tuone flyover na maendeleo yanafanyika lakini wapi! Umeme ni shida huku watoto wa vigogo kina Manyuzi Rizi1 na Mafisadi kina Kikwete Co. LTD wanaitafuna nchi huku watanzania tunaumia. INAUMA SANA KWAKWELI ! MUNGU TUSAIDIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…