Tungekuwa mbali leo bila Rais Samia

Huu ujinga unaweka hapa mbona huweki na madarasa yaliyojengw akila mkoa binadamu hamueleweki mnataka nini alikuwepo JPM mkawa hamumtaki sijui mantaka muongozwe na nani.

Tunaomba picha ya madarasa mawili tu aliojenga
 
nkajua unamuongelea mnyika
Yaani CCM mshindwe kutuvusha uchumi wa kati daraja la juu kwa miaka 22 muweze kwa mwaka mmoja wa Samia?πŸ˜‚πŸ˜‚

Mlitudanganya tumeingia uchumi Wa kati kisiasa while 2015 mpaka 2019 tumestruggle Kuongeza 92 USD Kwenye per capital Income.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kweli akutukanae hakuchagulio tusi.
 
ebu tutajie one revolutionary project inaofanya samia ajulikane? SGR sio yake anamalizia tu, au tuambie vision yake ni ipi kwa hii nchi
Hiyo SGR hakuianzisha JPM ilianzishwa na JK. Nadhani unaelewa kuwa miradi yote mikubwa ni matokeo ya sera za CCM, Rais na wasaidizi wake huwa ni watekelezaji tu wa sera hizo. Anapomalizia mmoja ndipo anapoanzia Rais mwingine.

Sifa huenda kwa Chama hawa marais ni watekelezaji tu wa maamuzi ya kichama, hawatakiwi wapewe sifa nyingi wanazopewa.
 
Reactions: Tui
ebu tutajie one revolutionary project inaofanya samia ajulikane? SGR sio yake anamalizia tu, au tuambie vision yake ni ipi kwa hii nchi
Yaani huyu bibi ushungi hata zile flyover za chang'ombe na uhasibu zimemshinda ni ujinga ujinga tu hata zege na ujenzi wa nguzo hawajamaliza yaani ni ujinga ujinga tu! Kwa ujumla huyu bibi hana vision!
 
Wewe ni mjinga tu! JK hakuwahi kuwa comitted kufanya hiyo project! Ilikuwa kweli ilani ya chama kama lengo la baadae kufanyika! Sasa unaposema JK alianza ujenzi tuambie lini alizindua ujenzi?
 
Wewe ni mjinga tu! JK hakuwahi kuwa comitted kufanya hiyo project! Ilikuwa kweli ilani ya chama kama lengo la baadae kufanyika! Sasa unaposema JK alianza ujenzi tuambie lini alizindua ujenzi?
Mjinga ni wewe unayedhani kila rais anakuja na sera zake. SGR ni mpango wa CCM wa miaka mingi. Ilani ya uchaguzi huwa inapitiwa kila baada ya miaka mitano kwa taarifa yako.

Nyinyi ndio mnadanganywa na mbwembwe za wanasiasa za kujisifu eti kwa utashi wao wamefanya hiki na kile, hauwi ni utashi wao unakuwa ni mpango wa kimaandishi wa miaka na miaka.
 
Reactions: Tui

Ipo miradi mingi sana ambayo haipo ndan ya sera za chama ambayo imetumika utashi binafsi, ebu niambie uchaguzi wa 2015 sera ya ccm ilikua inasemaje kabla corona kuja? daraja la ubungo lipo sura namba ngap ya sera za ccm? karatasi namba ngap inasema miaka mitano ya kwanza watu wataunganishiwa umeme kwa 27,000 alafu miaka 5 ya mwisho wataunganishiwa kwa 300,000
 

kwan alietoa hio report ni ccm ama WORLD BANK?
- 2010 mpaka 2020, mlikua na jumla ya + bil 57 kwenye makusanyo yenu na bado mkashindwa kujenga ofisi sasa mtajenga nchi gan
 
Samia amepokea nchi ikiwa tupu , Magufuli alizoea kuongoza kwa Janja janja
 
Jitahidi ufunguke kiakili ili ondokane na imani ya kipekee unayompa JPM hata baada ya kuaga dunia karibu mwaka umeshapita. Vyote vimo ndani ya ilani, wanasema kujenga madaraja wakimaanisha yote, liwe la ubungo liwe la kule rusahunga Ngara.

Wanasema watatoa ajira milioni nane, hawawezi kuziweka wazi, zipo njia nyingi za kufanikisha upatikanaji wa ajira hizo.

Ilani huongea vitu vya jumla, utendaji hutegemea na upatikanaji wa pesa kutokana na vyanzo mbalimbali.
 
kwan alietoa hio report ni ccm ama WORLD BANK?
- 2010 mpaka 2020, mlikua na jumla ya + bil 57 kwenye makusanyo yenu na bado mkashindwa kujenga ofisi sasa mtajenga nchi gan
Ofisi gani yenye bil 57 tena? Mie kapuku.

Report tunatoa sisi wenyewe wananchi kupitia serekali yetu. Sasa ukisoma Dira 2025, FYDP 1 & 2 huoni wapi mnapotushika pabaya?

Na bado bungeni mnasema nchi haiwezi kuendelea hii haina diraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mkuu weye utakuwa husomi weye....soma FYDP 1 2011/12-2015 (pg 132) uandishi bora kabisa wa Dr Mpango akiwa executive Secretary Wa MoF.

Uwe unasoma wewe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nafikir una hoja na sio busara kukupuuza,lakin hebu nisaidie tafsri ya neno mzalendo au mtu mzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…