Tungekuwa mbali leo bila Rais Samia

Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo?

1: Uchumi wa Tanzania ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8 kati ya nchi
Samia hana kipaji cha matangazo. Sio Populist president, hatafuti sifa wala kupendwa hiyo ndio tofauti yake na watangulizi wake.

Kuna pesa nyingi zinatafutwa na kupatikana hivi sasa na zinaijenga miundo mbinu mingi ya Tanzania bila ya kumsikia akijinasibu au akidharau watangulizi wake.

Mambo ya kupanda kwa bei bidhaa ndio ukuaji wenyewe wa uchumi. Hakuna nchi duniani isiyoishi na madhara ya mfumuko wa bei.

Ukimuona wewe rais ni mbaya kwa sababu ya vigezo vyako vya kuupima ufanisi kuna mamilioni wanaoanzisha miradi mipya wanamkubali sana.
 
We jamaa unakuwaga na mawazo ya kitoto na ya kifala sana.sijui jpm alikuingiziaga dole katikati ya makalio
Yeye ndiyo katiwa dole ndiyo maana amekufa, mfuate huko Chato anakooza
 
Wewe ni msukule tu na hauna uelewa. Magufuli ameharibu uchumi wetu na kuturudisha nyuma miaka 20. Kukopa kuna limit yake ila Magufuli alikopa kiasi kwamba makusanyo ya ndani yaliishia kulipa riba na deni na ndiyo Lisa wafanyakazi wakakosa ongezeko la mishahara kwa miaka 5 mfululizo.

Task Force kinadharia uko sawa lakini kiuhalisia wa Magufuli likikuwa ni genge la unyang'anyi. Kuna fedha zilikwenda Serikalini lakini kuna zingine waligawana wenyewe including Magufuli
 
Misukule ya Mwendazake bado imerithi kuchakachua takwimu. Lengo ni kuonyesha kuwa Samia hana uwezo. Watasubiri sana, Mama anaupiga mwingi

punguza mahaba ngombe wewe, mwenye 200b ni nigeria peke yake na anaefuata ana 150 alafu ndo mbuzi zingine zinafuata

 

yaaani uchumi wa egypt na marekani upo sawa , daaah
 

ongezeko la mshahara ndo ukuaji wa uchumi?
 

unaongea ujinga
 

ushawahi kuona sehem yoyote duniani uchumi unaharibika kwa ujeenzi?
 

ebu tutajie one revolutionary project inaofanya samia ajulikane? SGR sio yake anamalizia tu, au tuambie vision yake ni ipi kwa hii nchi
 
Nilivyoona uchumi wa kati daraja la juu tu nikajua Huna akiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…