Tundu Lisu ni kisiki cha mpingo wapenda haki tunakukubali endeleza tupo nyuma yako

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Kwa kazi inayofanywa CHADEMA kwa kwa kweli mnapaswa kupongezwa. Lakini nachukua nafasi kumpongeza Tundu Lisu hakika umeonyesha uajasiri mkubwa na sio mwoga pamoja na kushambuliwa kila upande na Magamba na washirika wao kutoka bara hadi visiwani huajalegeza msimamamo wala kutetereka. Umeonyesha kuwa wananchi waliokuchagua hawakufanya makosa pia umedhiirisha kuwa wabunge wote wa CCM hawajakaribia hata kidogo uwezo wako wa kuona mambo. Kilichonifurahisha ni kuwa wewe si mnafiki kama baadhi ya wabunge wengine sisi wapenda amani na usawa tunakuombea maisha kwani pia tunajua uanahatarisha maisha yako mbele ya Magamba.

Nimekumbuka ule msemo wa JK kwenye kampeni kuliko Tundu Lisu awe mbunge heri Dr Slaa awe rais, hakika wewe ni kisiki cha mpingo
 
Tundu Lissu ni katapila,magamba baada ya kuuchambua muswada wa katiba wanamshambulia lissu baada ya kusema ukweli,mungu akubariki na kukulinda.
 
Kamanda LISSU kaza kamba uzi uleule hatutaki usanii wa magamba wala usiwe na wasiwasi tuponyuma yako mpaka sasa wabunge wa CCM sijaona aliye jibu hoja zako za nguvu bomu ulilopiga limewasambaratisha magamba wamebaki kulalamika na kulaumu wengine wanaomba tuwasikilize wakati tunawasikia lakini hatuoni hoja wako pale kwa ajili ya matumbo yao.
 
huwa bado napata shida kujua mfumo wanaotumia cdm kupata viongozi kwani ukiondoa shibuda waliobaki wote wako smart, nawaona wote hawaimbi ''mungu ibariki'', hawa wanaimba'' nilalapo nakuota wewe niamkapo ni heri mama wee'' maana wapiganaji wa ukweli kama lissu, dr slaa, lema, na yule iringa ccm anaitwa fulunjombe sijui vizuri jina lake wanaimba hiyo nyimbo ya pili lakini mtu kama shibuda, mrema lyatonga na wasira, na magamba wote wanaimba mungu ibariki ukiimba hiyo ya pili nilalapo nakuota wewe uwezi kubaka uchumi wa tanzania hata kidogo kila dhuruma utakayotaka kufanya utahisi mungu anakunyoshea kidole
 
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1755.jpg
First Name: Tundu
Middle Name: Antiphas Mughwai
Last Name:Lissu
Member Type:Constituency Member
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mahambe Primary SchoolPrimary Education19761982PRIMARY
Ilboru Secondary SchoolO-Level Education19831986SECONDARY
Galanos Secondary SchoolA-Level Education19871989HIGH SCHOOL
University of Dar Es SalaamLLB19911994GRADUATE
University of Warwick, UKLLM19951996MASTERS DEGREE
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Singida West Constituency20102015
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)Director of Researcher20032008
The World Resources Institute (WRI), USAResearcher19992002
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)Researcher19981999
D'Souza ChambersAdvocates19941997
Bondeni Secondary SchoolTeacher19901991
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
CHADEMADirector of Law2004
NCCR-MageuziMember of Parliament Candidate1995
 
Kwa kazi inayofanywa CHADEMA kwa kwa kweli mnapaswa kupongezwa. Lakini nachukua nafasi kumpongeza Tundu Lisu hakika umeonyesha uajasiri mkubwa na sio mwoga pamoja na kushambuliwa kila upande na Magamba na washirika wao kutoka bara hadi visiwani huajalegeza msimamamo wala kutetereka. Umeonyesha kuwa wananchi waliokuchagua hawakufanya makosa pia umedhiirisha kuwa wabunge wote wa CCM hawajakaribia hata kidogo uwezo wako wa kuona mambo. Kilichonifurahisha ni kuwa wewe si mnafiki kama baadhi ya wabunge wengine sisi wapenda amani na usawa tunakuombea maisha kwani pia tunajua uanahatarisha maisha yako mbele ya Magamba.

Nimekumbuka ule msemo wa JK kwenye kampeni kuliko Tundu Lisu awe mbunge heri Dr Slaa awe rais, hakika wewe ni kisiki cha mpingo

Kuna usemi kuwa ukimuota mtu kafa, then ni ishara ya huyo mtu kufanikiwa mambo fulani. Sio siri, juzi niliota Lissu na Slaa wamekufa, na maelfu ya watu walikuwa wanashiriki mazishi yao yaliyofanywa kwa pamoja...
 
Mbona Sitta (at least anafahamu sheria among magamba) amekimbia na kwenda India kumsalimia
Dr. Mwakyembe, kwanini hakua ahirisha akabaki kuitetea serikali yake ktk
kipindi hiki tete?
 
huyu jamaa huwa ananifurahisha natamani tungekuwa na wabunge kama hawa 10 bungeni pasingetosha hao wajingawajinga wangeacha kutoa hoja zao za kijinga.
 
huwa bado napata shida kujua mfumo wanaotumia cdm kupata viongozi kwani ukiondoa shibuda waliobaki wote wako smart, nawaona wote hawaimbi ''mungu ibariki'', hawa wanaimba'' nilalapo nakuota wewe niamkapo ni heri mama wee'' maana wapiganaji wa ukweli kama lissu, dr slaa, lema, na yule iringa ccm anaitwa fulunjombe sijui vizuri jina lake wanaimba hiyo nyimbo ya pili lakini mtu kama shibuda, mrema lyatonga na wasira, na magamba wote wanaimba mungu ibariki ukiimba hiyo ya pili nilalapo nakuota wewe uwezi kubaka uchumi wa tanzania hata kidogo kila dhuruma utakayotaka kufanya utahisi mungu anakunyoshea kidole

Thanx Mkuu. Lkn Filikunjombe ni wa magamba ingawa ni kimanda wa ukweli!!
 
Back
Top Bottom