watu ambao hawana kazi utawajua tu ataanza ****** ili aonekane nayeye ameanzisha mada
Naona ni wa kawaida tu kwenye sheria pamoja na kwamba mimi si mwanasheria. Ana kitu zaidi , yeye ni jasiri, mpigania haki, ni mzalendo, anajua kujenga hoja, ana utanzania ndani yake. kuna wanasheria very more bright ila hawana hizi sifa nyingineTundu Lissu hakika jamaa ni kichwa, jamaa huwa ananifurahisha haswa anaposimamia hoja anayoiamini hapo ndipo huwa namkubali sana Lissu, na kwenye sheria amebobea haswa, Kudos Tundu Lissu, tupo pamoja kamanda.
Weledi wake ktk tasnia ya sheria hauna kifani.Unamzungumziaje?
wivu wa kipumbavu.unatamani ungekua yeye,mshukuru mungu kwa jinsi ulivyo.tatizo amekuwa akifananisha bunge kama mahakamani,,ananiudhi sana ,bungeni kuna wanasheria wenzake mbona hao wamekuwa wanatumia lugha za kibunge zaidi tofauti na lissu? Anapaswa atambue hvyo bunge ni bunge na mahakama ni mahakama afuate kanuni2 anapowaona wabunge wengine hawajuwi sheria ni jambo lingine lakini bunge linaongozwa na kanuni na ktk kujua sheria cyo ndo ujuwe kutunga sheria, na kama yeye na anajiona ndy mtaalamu sana wa sheria aisaidie nchi yetu na cyo kupingana mpaka anakuwa board katika chombo hiki.
TUNDU ANTIPAS LISU NI SAWASAWA NA WABUNGE MIA WA CCM
hakuna ubishi wabunge 100 wa ******* ni sawa na TUNDU LISU mwenyewe
BIG UP BRO,TUKO PAMOJA KWA SALA NA SUPPORT
Slaa vipi?
Kitilya naye je?