Breaking newz:Tundu Risu amkaanga pinda asema apigiwe kura ya kutokuwa na imani na serikari yake dhidi ya kila mbuge anaye amka kuchangia anasema serikari wezi wezi wezi
akasema kama serikali ndo yenye rungu la kushughukia hwa wakurgenzi na watendaji wengne lkn serikari imekaa kimya sasa pinda wa nini Tanzania?
Nnaunga mkono hoja pinda wa nini?
Nawasilisha
hata wananchi kama tungelikuwa na uwezo wa kupga kura ya kutokuwa na imani na serikali. Bila shaka wengi wangeliiunga mkono hoja hiyo.
Lakini bunge ndilo lenye uwezo huo na utashangaa wabunge hao hao wataingiza siasa katika suala kaa hili nyeti.
mizambwa
nabii mtarajiwa!!!
Breaking newz:Tundu Risu amkaanga pinda asema apigiwe kura ya kutokuwa na imani na serikari yake dhidi ya kila mbuge anaye amka kuchangia anasema serikari wezi wezi wezi
akasema kama serikali ndo yenye rungu la kushughukia hwa wakurgenzi na watendaji wengne lkn serikari imekaa kimya sasa pinda wa nini Tanzania?
Nnaunga mkono hoja pinda wa nini?
Nawasilisha
Hata Wananchi kama tungelikuwa na uwezo wa kupga kura ya kutokuwa na IMANI na Serikali. Bila shaka wengi wangeliiunga mkono hoja hiyo.
Lakini Bunge ndilo lenye uwezo huo na utashangaa Wabunge hao hao wataingiza SIASA katika suala kaa hili nyeti.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
huyo TL ana muda mfupi tu umebaki wa yy kuwa mbunge hadi 27/04/2012, akamuulize mwenzie lema yuko wapi achana na kitu pinda bana
pinda kapinda na serikali ya mshkaji wake jk aka bwana harusi, aka bwana misosi aka discoverer (vascooooo)
a.ka. mzee wa products za victoria secrets! (totoz) ndio haswaaaaaaaaa ugonjwa wake! realy pathetic! long live our prezidar!Pinda kapinda na serikali ya mshkaji wake jk aka bwana harusi, aka bwana misosi aka discoverer (vascooooo)
huyo TL ana muda mfupi tu umebaki wa yy kuwa mbunge hadi 27/04/2012, akamuulize mwenzie lema yuko wapi achana na kitu pinda bana