Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,101
Mbiko yakwe iisuva.Jisitiri walau kidogo ndugu..
Hujioni ulivyo mtupu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbiko yakwe iisuva.Jisitiri walau kidogo ndugu..
Hujioni ulivyo mtupu??
Lisu hata kabla ya kuingia kwenye siasa amewasaidia sana watu wengi. Wengine aliwaepusha na vifungo, wengine na adhabu. Tena alifanya hivyo bila ya malipo.Lissu ana huruma sana na binadamu wenzake jamani !
Thats true mkuu,mko wachache kweliTupo wachache tunaomuelewa Lissu
Paaza sauti usikike
Ukombozi unakaribia
We kweli ni mfuasi wa Joseph Kibwetere
Unalinganisha hili litoilet paper na binadamu
Dadeki
Sent using Jamii Forums mobile app
My take:
This is one of the best revolutionary speech ever from one of the best sons this country has ever produced!
It is full of wisdom, logic and unprecedent courage
With this kind of spirit, I can declare for sure that change is Coming to Tanzania!
I am inspired by this Patriot, who was shot in a broad daylight, but still burns with passion in his heart to see our nation living up to its promise of freedom, justice and human rights to all!!
Indeed Gold can't be pure untill it first passes through a furnace , this man has passed through this furnace and now is as precious as gold!
CCM : MENE MENE TEKELI NA PERES
UPO SAHIHI DADA WARIDI

Siasa zimekutoa utu kabisa.
Malimbukeni wanavyoadhirika sijui kama wanalala ,matumbo moto kweli Sikh zinahesabika waanze kupanda pipa bila kupendwa kwenda ICC .
NAPENDEKEZA SIKU YA LISU KUREJEA IWE YA MAPUMZIKO NCHI NZIMA,Lissu's homecoming need be declared a public holiday.This man deserves nothing less.
Watu mliojiunga juzi baada ya Lissu kupigwa risasi mna kazi sana. Unalipwa kumtukana mtu aliyepigwa risasi ili iweje?We kweli ni mfuasi wa Joseph Kibwetere
Unalinganisha hili litoilet paper na binadamu
Dadeki
Sent using Jamii Forums mobile app