Tundu Lissu yupo live bungeni

Tundu Lissu yupo live bungeni

Haya jamani yule kipenzi wetu,mbunge exceptional Mh.Tundu Lisu amerudi bungeni,anatema cheche serikali imeshindwa kupeleka mafungu TEA.Updates
Amemuambia Mwenyekiti Mng'ong'o kuwa anaendesha kikao kwa kutumia kanuni za kutoka nyumbani kwake na sio za bunge.

Mwenyekiti akahamaki akamuambia afute kauli yake.....lissu akamjibu sifuti kwa sababu wewe mwenyekiti umekiuka kanuni

Ikaishia hapo na maneno hayo yamebaki kwenye Hansard
 
Nimependa sana hii kitu unaendesha bunge kama uko nyumbn kwako bila kufwata kanuni za bunge
Mheshimiwa futa kauli! Sifuti ,mh futa kauli !sifuti,mwishoe kimya ikambamba mtu mambo yanaendlea kama kawaida
 
Amemuambia Mwenyekiti Mng'ong'o kuwa anaendesha kikao kwa kutumia kanuni za kutoka nyumbani kwake na sio za bunge.

Mwenyekiti akahamaki akamuambia afute kauli yake.....lissu akamjibu sifuti kwa sababu wewe mwenyekiti umekiuka kanuni

Ikaishia hapo na maneno hayo yamebaki kwenye Hansard
 
tuandikieni alichokisema huyu mbunge makini kipenzi cha wanyonge kiongozi wa kuigwa wakili msomi mtetezi wa haki za watu kiboko ya maccm mpaka mwenyekiti wao anamgwaya,mwiba mkali wa wachovu
 
hahahahaha alikuwa kwenye kampeni ya BVR sasa karudi hahaha
 
tuandikieni alichokisema huyu mbunge makini kipenzi cha wanyonge kiongozi wa kuigwa wakili msomi mtetezi wa haki za watu kiboko ya maccm mpaka mwenyekiti wao anamgwaya,mwiba mkali wa wachovu
ni pamoja na haya
Amemuambia Mwenyekiti Mng'ong'o kuwa anaendesha kikao kwa kutumia kanuni za kutoka nyumbani kwake na sio za bunge.

Mwenyekiti akahamaki akamuambia afute kauli yake.....lissu akamjibu sifuti kwa sababu wewe mwenyekiti umekiuka kanuni

Ikaishia hapo na maneno hayo yamebaki kwenye Hansard
 
Huyu waziri wa elimu mbona wanamuondolea shiling mwanzo mwosho,kwa kweli huyu waziri ni kilaza balaaa.
 
Niwe mkweli kabicha wasipokuwepo hawa wabunge
Lissu, Msigwa na Mnyika huwa siendelei kuangalia Bunge.
 
Back
Top Bottom