Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,242
haiingii akilini lisu awaite waaandishi atoe taarifa isiyotafitiwa? lisu ni lawyer wewe alifaham sana impact ya kitu alichokuwa anafanya. so heebu kaa kimya the truth will come out soon!!!Mh. Tundu Lisu, umeniangusha sana leo. Sikutegemea kuwa ungelileta hoja ambayo hujaifanyia utafiti. Mwakyembe alitaja na kutoa pole yaliyotokea MV Skagit. Suppose you were in the Court of Law, a preliminary objection would have been raised against you. That would have been fatal to your client- by stiking out the incompetent application/appeal etc as being incompetent with costs!!!! It was good that you conceded defeat, that was brave!!!! Ni funzo usifanye hivyo tena, tunakuamini sana as a competent lawyer/politician to make such a simple mistake. Nina wasiwasi kama una ushahidi wa kuhongwa kwa uliowataja na umetakiwa kutoa ushahidi. Naanza kuwa na mashaka!!!
kwa mimi ambaye sijaangalia bunge leo hata sijakupata,sijakuelewa vizuri,tafadhari Rutakyamilwa unaweza kuongeza maelezo ya ziada ili ueleweke vizuri hasa kwa wale ambao hatufautilii BUNGE kwa sasa?kwa mfano,nini kimetokea ?kimetokeaje ktk mtitiriko gani?
haiingii akilini lisu awaite waaandishi atoe taarifa isiyotafitiwa? lisu ni lawyer wewe alifaham sana impact ya kitu alichokuwa anafanya. so heebu kaa kimya the truth will come out soon!!!
Mimi nilimsikiliza TUNDU Lissu that day. Sikusikia sehemu aliposema hawa wamekula rushwa Tundu Lissu alitaja watu wenye Masilahi Binafsi walio ndani ya Kamati ( Conflict of Interest). Sasa najaribu kusoma kwenye vyombo vyetu vya habari naona watu wanasema kataja waliokula rushwa. I stand to be collected
Mkuu mgomo wa walimu una siku nne na hapo kwenye red naona madhara ya mgomo huo yashakufikia.