Tundu Lissu: Tiketi mkononi, ulemavu mwilini, uimara moyoni. Anarejea uwanja wa mapambano kutimiza haja ya moyo wake!

tunataka vijana waasi vijana waasi dhidi ya mfumo dhalimu hatutaki vijana hewala hewala vijana wasioweza kujenga hoja JULIUSN/ NYERERE. lissu ni ndoto ya nyerere
 
karibu nyumbani kamanda lisu hakika mungu ni mwema
 
Karibu nyumbani mpendwa, jemedari wa Taifa na mzalendo wa kweli wa nchi yetu. Mtu uliyejawa ukweli wa nafsi moyoni na akilini mwako.

Hii ni nchi yako, nchi uliyopewa kama rulivyopewa sisi na mwingine yeyote. Hakuna aliye na haki nayo kukuzidi wewe. Karibu uitumikie nchi yako kama ulivyoitumikia hapo mwanzo. Karibu kwenye nchi yako, nchi uliyoimwagia damu kwa sababu ya kuupenda na kuutumikia ukweli wa nafsi yako.

Mungu uliye mkuu, uliyewashusha wenye enzi katika viti, ukawakweza wanyenyekevu na wakweli wa nafsi zao, uliyewaondosha watawala na majemadari wenye kutisha, uliyemwondoa Goliati kwa kutumia mtumishi wako dhaifu wa mwili Daud, ikikupendeza Bwana wetu Muumba mbingu na nchi, ukawatiishe wote wenye hila, waliotamani kumwondoa TL kabla ya mapenzi yako, hata ukawaoneshe kuwa wewe ndiye uliye mkuu, wewe pekee yako unayezijua siku zetu, Bwana ukawatende kama wastahilivyo.
 
Mmebadili gia, nyie ni wajinga mliopitiliza
 
Hivi tiketi hizi bado zipo? Last time i checked kulikuwa na e-ticket
 
huyu jamaa kuwa hai ni muujiza..MEKO akisikia jina la Lissu anapatwa na mkojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…