Nakufaham kabisa wewe sio fany wa siasa shida yako ni Elimu za English Medium.Mimi sio mtu wa siasa kabisa. Falsafa yangu kuhusu maisha ipo tofauti kabisa na mambo ya siasa. And my life is moving in the direction of my life philosophy.
But guys am telling you, Lissu sio mtu wa kawaida. He represents a very higher and powerful entity in the realm of the spirits.
Nampenda sana Samia ila Lissu sio poa. Lissu sio mtu wa kawaida.
Huyu jamaa sio mtu wa kawaida.
Baba Lissu, don't forget me in your kingdom.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amemaliza na Uchawa ndaniUmemalizia kwa kuomba kazi😀
Free Tundu LissuMimi sio mtu wa siasa kabisa. Falsafa yangu kuhusu maisha ipo tofauti kabisa na mambo ya siasa. And my life is moving in the direction of my life philosophy.
But guys am telling you, Lissu sio mtu wa kawaida. He represents a very higher and powerful entity in the realm of the spirits.
Nampenda sana Samia ila Lissu sio poa. Lissu sio mtu wa kawaida.
Huyu jamaa sio mtu wa kawaida.
Baba Lissu, don't forget me in your kingdom.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Lissu sio binadamu wa kawaida mkuu. Lissu ni kama jini vileNakufaham kabisa wewe sio fany wa siasa shida yako ni Elimu za English Medium.
Kuhusu Tundu Lissu kutazuka kesi nyingi sana na matukio mengi ya ajabu na kila mtu atakuwa anashangaaa.
Kwani si mnaona?
Hawezi peke yake, wabongo hua tunapenda kupambaniwa sisi tukiwa nyuma ya keyboard tukicomentMimi sio mtu wa siasa kabisa. Falsafa yangu kuhusu maisha ipo tofauti kabisa na mambo ya siasa. And my life is moving in the direction of my life philosophy.
But guys am telling you, Lissu sio mtu wa kawaida. He represents a very higher and powerful entity in the realm of the spirits.
Nampenda sana Samia ila Lissu sio poa. Lissu sio mtu wa kawaida.
Huyu jamaa sio mtu wa kawaida.
Baba Lissu, don't forget me in your kingdom.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ulisema huamin mambo ya majini uchawi n.k...Lissu sio binadamu wa kawaida mkuu. Lissu ni kama jini vile
Hata kwa keyboard sio mbaya.....zamani hata ya keyboard haikuwepoHawezi peke yake, wabongo hua tunapenda kupambaniwa sisi tukiwa nyuma ya keyboard tukicoment
Hayuko peke yake.Hawezi peke yake, wabongo hua tunapenda kupambaniwa sisi tukiwa nyuma ya keyboard tukicoment
tuendelee kupambana makamanda kwa kucomment no reform no election tukiwa tumejifungia ndani,lazima tulete MabadilikoHata kwa keyboard sio mbaya.....zamani hata ya keyboard haikuwepo
🙆😃yupo ndani peke yakeHayuko peke yake.
Mkuu Kopites unadhani kejeli zako zitawazuia watz kuonesha mapenzi yao kwa Taifa lao?tuendelee kupambana makamanda kwa kucomment no reform no election tukiwa tumejifungia ndani,lazima tulete Mabadiliko
No reform no electionMkuu Kopites unadhani kejeli zako zitawazuia watz kuonesha mapenzi yao kwa Taifa lao?