Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,398
- 3,907
Ajili hizi niliwahi zikuta Mombasa kwa wale vijana wa kiume wanaolelewa.Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana
Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia
Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa
Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?
Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?
Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe
Umefirimbwa na Hamida wewe sio bure. Hoja yako ni nini sasa hapa??Nyie subirini tu!
Kuna siku jiwe litasimama kizimbani kwa uhalifu wa kutisha katika nchi hii, huku Lissu akiwa huru mtaani!
Pindueni maneno tu, mwishowe ukweli wote utajulikana
"Mwanyika"?
Mawakala wa wa mashirika ya kijasusi, Mo na Rostam?
Mkuu hebu jazia jazia nyama inaonekana unajua mambo mengi ambayo sisi 'wanyonge' hatuyajui!
Mkuu acha kukimbia hoja Bali tulia ujibu kwa hoja. Umeulizwa;MLETA UZI PELEKA UONGO WAKO,UMBEYA NA UZANDIKI HUKO KWA MACCM WENZAKO
TULETEE EVIDENCE KWA MAANDIKO UNAYOMSEMA M.H LISSU THEN WE CAN GO FROM THERE!Mkuu acha kukimbia hoja Bali tulia ujibu kwa hoja. Umeulizwa;
Kwanini TL alikuwa anawatetea Accasia na kuibeza serikali wakat wa mapambano?
Kwanini alitaka muungano uvunjike?
Kwanini alipokea hongo kwa Edward L akamusafisha kuwa siyo fisadi?
Jikite kwenye hoja mkuu kuandika kwa herufi kubwa siyo njia sahihi ya kumaliza hasira zako.
MkuuUlikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana
Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia
Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa
Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?
Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?
Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe
TUNATAKA NOAH PERIOD! PIA YALE MAKINIKIA YALIISHIA WAPI? AWAMU YA 5 NI AWAMU YA MAJIZI MAKUU AMNAYO HAYAJAWAHI KUTOKEA TANGU TUPATE UHURUTundu Lissu ameandika historia Mbaya kwenye nchi hii kamwe hawezi kuaminika. Uongo unakufariji Leo tu huwa hauna future nzuri, na kadiri unavyozidi kudanganya ndivyo unavyozidi kuhatarisha kesho yako
Tundu Lissu ameandika historia Mbaya kwenye nchi hii kamwe hawezi kuaminika. Uongo unakufariji Leo tu huwa hauna future nzuri, na kadiri unavyozidi kudanganya ndivyo unavyozidi kuhatarisha kesho yako