kwahiyo sasahivi anashinda na rangi ya kijani kutwa kucha[emoji196] [emoji196] [emoji62][emoji62][emoji62]
mzee Rwaitama amesema juzi kuwa hiki kipindi cha jiwe kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kwa wazee kushindakukesha na kivazikijani sijui wamepatwa na nn[emoji15] [emoji15]
Sent using
Jamii Forums mobile app