Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Mada ni lissu ndani ya BBC
Anzisha mada yako ya mbowe.
acha kuchafua thread za watu

#My God Iz Awesome [emoji123]
 
Anapenda kucheka cheka kama kanatekenywa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah coz anacheka,kwa kuwashangaa Ukuu wa Mungu uliomuweka hai.
wangapi risasi 1 tu inawagharimu maisha yao?
lissu ni nani mpaka apone so muache achekee Ukuu wa Mungu
kama inakuuma kajitundike

#My God Iz Awesome [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…