comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Mh Tundu Lissu amesema wafanyakazi lazima wasimame na kudai haki zao wala sio kuomba kwa kuwa ni haki yao" nchi hii inaonea sana wafanyakazi ukiangalia salary slip ya mfanyakazi wa Tanzania karibu 50% ni makato tu" alisema Lissu. Mh Lissu ameongea hayo leo mjini Dodoma wakati wa kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani alipokutana na wajumbe wa shirikisho la wafanyakazi nchini mjini Dodoma
Channel ten
Channel ten