Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

Nchi hii ni ya kidemokrasia Mbon wafalme wote waliopita mikutano ilikuepo ya ndan na nje iweje leo maji yaingie mdudu na maamuz kafanya kwa sheria ipi tunapinga udi uchwa.....
 
Hili ni suala ni la misingi na siyo suala la Chadema peke yake ni la wote ni la kulinda katiba ya nchi yetu
 
Kama unaijua katiba vizuri nenda kaonane nae pale mahakamani.
 
Ujue maswala kama haya nendeni mahakamani mkaonane nae. Hapa hamtapata muafaka
 
Mimi sio mwanasheria lakini wewe ndo kabisa uko empty, unazichanganya sheria zilizopo, yaani hujui matumizi yake, kwa kukusaidia tu jaribu kutofautisha sheria ya vyama vya siasa na sheria ya binadamu (mtu). Hizi ni sheria mbili ambazo kwenye hili bandiko lako umezichanganya, yaani umeshindwa kuzielewa na jinsi zinavyofanya kazi.
 
Ina maana hakuna askali hata mmoja aliyekufa katika tukio hilo? Mnataka kuwaeleza Watanzania kwamba yale yalikuwa ni maigizo ya Bongomovie - sisi watu wa ajabu sana!!
Humu ndani viwango vya uelewa watu wanatofautiana kumbe kwa kiasi kikubwa hivi?Mkuu kwa maelezo ya Lissu sikuwa hakuna askari aliyekufa bali ni kuwa huyo anayesema ndiye huenda akawa mtekelezaji jambo hilo,ili aje alitumie kama ground ya kusitisha shughuli zote za kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…