M Makamuzi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,155 Reaction score 264 Feb 26, 2012 #1 Anaongea channel ten kuhusu sheria ya mabadiliko ya katiba
T T.K JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 345 Reaction score 75 Feb 26, 2012 #2 yeah, asante kwa info
C colyvas Member Joined Feb 23, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Feb 26, 2012 #4 Yeye mwenyewe hajui anachoongea anaitaji kusaidiwa kuelimishwa
cjilo JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 884 Reaction score 448 Feb 26, 2012 #5 colyvas said: Yeye mwenyewe hajui anachoongea anaitaji kusaidiwa kuelimishwa Click to expand... wenzio magamba walisema hivyo hivyo lakini mwisho wa siku waka-salute
colyvas said: Yeye mwenyewe hajui anachoongea anaitaji kusaidiwa kuelimishwa Click to expand... wenzio magamba walisema hivyo hivyo lakini mwisho wa siku waka-salute
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Feb 26, 2012 #6 Mmetunyima uhondo sisi ambao ngeleja anatunyanyasa!
M moma2k JF-Expert Member Joined Dec 12, 2010 Posts 1,109 Reaction score 1,423 Feb 26, 2012 #7 Tundu Lisu chuma cha pua. Sheria iko damuni,anakohoa sheria.
M Mchokozi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 215 Reaction score 29 Feb 27, 2012 #8 moma2k said: Tundu Lisu chuma cha pua. Sheria iko damuni,anakohoa sheria. Click to expand... :eyebrows: Ama kweli tumekosa mengi kwa sababu ya Ngeleja
moma2k said: Tundu Lisu chuma cha pua. Sheria iko damuni,anakohoa sheria. Click to expand... :eyebrows: Ama kweli tumekosa mengi kwa sababu ya Ngeleja
L luckman JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,211 Reaction score 373 Feb 27, 2012 #9 colyvas said: Yeye mwenyewe hajui anachoongea anaitaji kusaidiwa kuelimishwa Click to expand... wakupime akili utakua unaumwa ila haujui!
colyvas said: Yeye mwenyewe hajui anachoongea anaitaji kusaidiwa kuelimishwa Click to expand... wakupime akili utakua unaumwa ila haujui!