johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,334
- 144,566
PowerPeople's ✌️✌️✌️✌️✌️💯
Mjinga ni wewe usiyejua maana ya halisi ya ubora na ukatili.Acha kumfananisha Rais bora tuliyewahi kumpata na vitu vya kijinga
😂😂😂🔥Mjinga ni wewe usiyejua maana ya halisi ya ubora na ukatili.
Sawa dogoMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu leo amekutana na Wananchi Katika Vijiwe Vya Tabata Mwananchi, Kimanga, Umoja na Buguruni kwa Mnyamani
Baada ya Kubadilishana Mawazo na Wananchi kwenye Vijiwe hivyo alielekea Viwanja Vya Vingunguti ambako alifanya mkutano mkubwa sana
Mlale Unono 😀
Wasalimie Chunya!Sawa dogo
Nawe piaMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu leo amekutana na Wananchi Katika Vijiwe Vya Tabata Mwananchi, Kimanga, Umoja na Buguruni kwa Mnyamani
Baada ya Kubadilishana Mawazo na Wananchi kwenye Vijiwe hivyo alielekea Viwanja Vya Vingunguti ambako alifanya mkutano mkubwa sana
Mlale Unono 😀
Kwa ubora upi aliyekuwa nao, japo Lissu sio bora lakini Hayati hakuwa na ubora wowote, wapuuzi walimfurahia.Acha kumfananisha Rais bora tuliyewahi kumpata na vitu vya kijinga
Kabisa, aache kumfananisha Tundu Lisu na shetani wa chattle.Acha kumfananisha Rais bora tuliyewahi kumpata na vitu vya kijinga
Rais bora ni Magufuli? We ni bwege kweli. Yule marehemu wenu alikuwa fisadi mshamba. Mabilioni yalikutwa nyumbani kwake baada ya kufa, mengine yalikutwa China. Uwanja wa ndege wa Chato una kazi gani, kuanikia dagaa. Magu hafikii hata robo ya Lissu kwa akili. Aliwapumbaza mazuzu km weweAcha kumfananisha Rais bora tuliyewahi kumpata na vitu vya kijinga
Atachangamsha Siasa zilizubaa sana!Nafirahi kuona amerejea, mambo yatachangamka soon.
Kwa maana yako ni kuwa kila mtu ni "sahihi" kwa vile "kila mtu ana fikra zake"? Fikra za ajbu sana hizi!Ujinga ni kumuaminisha kila mtu unachoamini wewe ndio sahihi, wakati kila mtu ana fikra zake timamu.
Kuna tatizo mahala.Lissu amebaki kufanya siasa, wengine wanakula bata tu wanasubiri 2025 wakatafute majimbo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sasa kwa nini twende mbali kote huko (kuzimu) kufananisha, wakati yupo Samia akipumua. Naona 'chawa' wengi wapo kule kwenye mada ya "dharura" iliyoanzishwa na mkuu wa "machawa"Lucas.Yule jiwe mwendawzimu, mshamba, muuaji , mtekaji na mporaji ndiyo unamlinganisha na gwiji la sheria Tundu Antipas Mughwai Lisu??
Naanzaje kumfananisha au achilia mbali kumlinganisha True Son of Africa na kuwadi wa Soko huria alietupiga fix tutashtakiwa MIGA, muacheni Chuma apumzike yule ni akili kubwaz sio wakubwabwajaYule jiwe mwendawzimu, mshamba, muuaji , mtekaji na mporaji ndiyo unamlinganisha na gwiji la sheria Tundu Antipas Mughwai Lisu??