Jamaa kweli ni limbukeni wa malimbukeni. Anafikiri akiandika kwa Kiingereza ndio watu watamuelewa?Kwa hiyo Lugha sidhani kama hata bavicha wamemuelewa.
Kwani Tundu Lissu alikuwa na maamuzi ya mwisho?Kwa hiyo Lugha sidhani kama hata bavicha wamemuelewa...halafu sidhani kama ni sahihi kumlaumu Magufuli kwa kila jambo ambalo hakuwa na maamuzi ya mwisho.
We shall Overcome My Dear Brother Tundu LissuWe shall overcome.
Wazalendo wa Lumumba mnaulizwa, huyu Magufuli anayejiita mzalendo baada ya Urais alikuwa wapi wakati watu wanapigania nchi??Kwa hiyo Lugha sidhani kama hata bavicha wamemuelewa...halafu sidhani kama ni sahihi kumlaumu Magufuli kwa kila jambo ambalo hakuwa na maamuzi ya mwisho.
Wamemulewa kwani Bavicha kuna wasomi kuliko ccm. ccm mambumbumbu wengi ndio maana tupo tulipo. Kwa hili usijidanganye sema lingine. Wa kumlaumu maana yu miongoni mwa waliofanya maamuzi ya kizembe si yupo ndani ya ccm au alihama chama.Kwa hiyo Lugha sidhani kama hata bavicha wamemuelewa...halafu sidhani kama ni sahihi kumlaumu Magufuli kwa kila jambo ambalo hakuwa na maamuzi ya mwisho.
Sasa Hon Lissu anafanya Lumumba hawatachangia. Wanao comment wengi toka Lumumba elimu zao ni sawa na za yule mwenyekiti wao wa Ccm kule GeitaSiku hii akili ya kitumwa itakapokutoka itakuwa vizuri sana; kwa niaba yako.
"Wanasiasa wanakamwatwa kwa makosa yao" by kamanda Sirro.Kumkamatakama Lissu na kumfungulia kesi uchwara hakumuongezi umaarufu wowote Magu. Zaidi unazidi kumuonyesha ni mtu wa namna gani. Lissu hatoacha kuspeak his mind
Wakikujibu nambie pleaseWazalendo wa Lumumba mnaulizwa, huyu Magufuli anayejiita mzalendo baada ya Urais alikuwa wapi wakati watu wanapigania nchi??
Sent using Jamii Forums mobile app