Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,103
- 9,583
Mhe. TunduALissu anauliza;
1. Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao?
2. Mama anasemaje juu ya balozi wake Humphrey Polepole au ni kazi na utu?
==========================
Baada tu ya kuingia kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amesikika akiwahoji watu walioko kwenye chumba hicho cha Mahakama endapo wanafahamu kama aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole aliyetoweka kwenye mazingira tatanishi kama amepatikana au hajapatikana.