Tundu Lissu akamilisha taratibu za kugombea urais wa TLS

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Tundu Lissu akamilisha taratibu za kugombea urais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS)
ef2eadbf-01c7-4805-ba6e-4d46954290ad.jpg
 
Afadhali hichi chama kwa sasa kinatia aibu.hakina mdomo huku kikiona katiba na haki za raia zikivunjwa
 
Duh, katimiza vigezo na kuandika barua mwenyewe? Au bado sijaelewa!
 
Anafaa ikiwa ataamua kuachana na Siasa na Ubunge wake lakini kama bado atakuwa mwanaisiasa na Mbunge nahisi hatofaa unajua ukiwa Kiongozi wa Taasisi kama TLS hutakiwi uegemee kwenye mambo ya Siasa unatakiwa usifungamane na Chama chochote cha Siasa
 
Back
Top Bottom