Tundu 'Frankenstein' Lissu

Cha kufanya sasa ni kumvizia sizonje akiwa anaoga mtoni,tunachukua taulo,anaanza kutukimbiza,bahati nzuri mbio tunazo,tutakatiza mitaa ya kariakoo kwenye watu wengi wamuone alivyo,tutapita posta, haooo Dodoma ,mwanza kila kona,wananchi watakuwa wanamuona akimkimbiza antipas watajua Antipas anakimbizwa na kichaaa ambaye hana nguo,tukichoka tunamrushia taulo,tunarudi mtoni jioni tena kesho yake, tinachukua taulo tunaanza mbio,akitukaribia tunalirusha juu ya mti mrefu sisi tunaendelea na mbio,

Baada ya hapo watoto watamjalia kumuimbia nyimbo ,watu wazima watampa majina na kumjadili,mission accomplished
 

Tunashukuru Mungu hakuumia kichwani
 
Albadir kazini!
 
Yake yakianza kubwagwa ataufyata tu.. nafikiri kwake kuna ile kuachiwa na kuangaliwa huku hajui wajuayo.. na hawezi kupata cheo anachotaka hadi wenzake wakubali(ndio maana wanatendeana majanga yanayoendelea kusisukumia kama vile ni serikali). naona ataendelea kupiga mdomo tuuuuu na kuishia alipo.. akitokea kupewa cheo makombora yatarushwa pwaaaaaa..
 
Dawa unazotumia za vichaa zimegoma kabisa kufanya kazi..
An imbecile who is also on retardation dose..!!
 
Ndio umeandika nini sasa..?!
 
Hilo ni propaganda za kisiasa tu

Mnachokosea katika hizi siasa pamoja na propaganda ni kupinga hoja kwa vifaru na SMG.
Huu uzi ungeletwa na Rutashubanyuma au Magonjwa Mtambuka, labda ningefikirisha ubongo kuhusu hilo la ukanda.

Lakini pamoja na yote Lissu mara nyingi anaponena jambo basi ujue na ushahidi wake upo pembeni, na hapo ndipo anapoisumbua serikali ya Yohana kila kukicha.


"Nitaendelea kuwatumikia wananchi mpaka pumzi yangu ya Mwisho.
Na kama nikifa kila tone la damu yangu litajenga muungano usiofutika"
 

Papa John Paul II alipigwa risasi zikaingia kwenye tumbo mwaka 1981 na aliendelea na upapa hadi 2005. Ndiyo maana mnataka mitandao ifungwe kwa sababu uongo wenu unaumbuliwa mapema kweupa.
 
Papa John Paul II alipigwa risasi zikaingia kwenye tumbo mwaka 1981 na aliendelea na upapa hadi 2005. Ndiyo maana mnataka mitandao ifungwe kwa sababu uongo wenu unaumbuliwa mapema kweupa.


Alipigwa risasi ngapi? Na wapi (eneo), linganisha huduma ya kwanza ya kimatibabu ya Papa huko Ulaya na TZ/Kenya!
 

Tatizo viongozi wa Kiafrika HAWASHAURIKI!!! Wanaongoza nchi kwa mawazo yao tuu! Ushauri pekee wanaoukaribisha ni ule ambao unafanana na wanachokiwaza!! Nje ya hapo, utaitwa "MPUMBAVU", na on the worst case scenario utatimuliwa mbali huko.....!!!
Tundu Lissu na Upinzani kiujumla ungekua hoi bin taaban na wala wasingeweza kuisumbua serikali ya awamu ya tano au kina Lissu kupata umaarufu kama nahodha wa nchi yetu angetumia akili zaidi katika ku deal na wapinzani kuliko nguvu na mabavu!! Yaani ingekua kama kumsukuma mlevi vile.....!!

Watu aina ya Lissu hau deal nao kwa kutumia nguvu,vitisho, mabavu na kuwabambikia kesi... na ukitumia staili hiyo tuu, at the end of the day kila siku wewe mtawala ndio utakua unaonekana ni lijinga la mwisho kabisa ambae huna akili wala weledi!!!!! Ndio kama hivyo kila siku unasiki Lissu ameshinda kesi dhidi ya serikali mahakamani!!

Na nina uhakika ndani ya CCM wapo watu wengi tuu wenye uelewa mzuri sana wa namna ya kudeal na watu aina ya Lissu, ila sasa ndio hivyo, hawawezi kufungua midomo yao kushauri tofauti na vile ambavyo MFALME ndio anaona ni njia sahihi!!!

Na atawatesa sana, sana tena sana!!! Mpaka pale ambapo wataamua kutumia akili zaidi katika kudeal nae kuliko nguvu na ubabe.
Nyani Ngabu
 



HUPO smart kabisa wewe liangalie kwanza !kwan mdomo umejeruhika ! jipange !mxiew
 
Alipigwa risasi ngapi? Na wapi (eneo), linganisha huduma ya kwanza ya kimatibabu ya Papa huko Ulaya na TZ/Kenya!

Sihitaji kukujibu unachotakiwa kusoma na kujua. Itoshe kukujulisha kwamba kesi ya Papa John Paul II au JPII nimeisoma vilivyo sihitaji kufundishwa na mtanzania yeyote. Najua matibabu aliyoyapata.

Kwa kifupi ni kwamba Tundu Lissu alipata matibabu mapema kuliko JPII.

Yeye mwenyewe JPII alisema kwamba ulikuwa ni muujiza kwake kupona na akaamini Bikira Maria wa Fatima ndiye aliyemponya na siku hiyo ilikuwa ni siku ya Fatima.
 
akirudi utahama nchi boss?
 
huwa nina sikia nyama ya mtu ni tam sana nadhani ya watu wa aina yako inaweza kuwa tam zaidi !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…