Tunawezaje kuwa imara zaidi kiulinzi katika nchi yetu?

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,625
3,141
Ndugu wana jf, hongereni kwa kazi halali za kujiongezea kipato.
Nimeona ni vema tubadilishane mawazo jinsi ya kuongeza uwezo katika ulinzi.
Nchi yetu ina madini ya URANIUM ambayo yanatumika kutengeneza mabomu ya nyuklia. Je, hatuwezi kuyatumia madini hayo kutengeneza ya nyuklia ili tuwe sambamba kama ilivyo kwa URUSI, MAREKANI, ISRAEL, KOREA YA KASKAZINI NK?
 
Hivi punde tutajenga nuclear power plant ngoja tujipange juu ya wataalam
 
Back
Top Bottom