İndian people are innevatable.Hawaepukiki ispokuwa kwa wenye akili tu.Wahindi ndio mabingwa wa it na wamejazana silicon valey Marekan.İli kumuepuka muhindi inabidi uwe na akili za mchina.Kuhusu biashara katika dunia ya leo sio lazima tumtegemee muhindi kwa sababu kuna midleman kama Alibaba, aliexpress, amazon nk. Ambao wanaunganisha muuzaji na mnunuaji.Wahindi kwenye hii teknolojia bado wapo nyuma.
Lakini kwa mwanza naona kama wasukuma wanawapiga hoal wahindi kwa sasa,hasa mitaa ya liberty,soko kuu etc,utaona wafanyabiashara wote walio katika maeneo yaliyobusy sana na watu ni wazawa,
wahindi utawakuta mitaa ya mwanza hotel wanapigwa dolo