Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,274
- 62,460
ha ha ha huwa zinaleta busaraUko bia ya ngapi?
Ndio hivyo mkuu..Kabisa
Ni kuchukua hatua tu mkuuHakika
Ledada naombaKabisa
Uko sehemu unakamatia kinywaji niniiTunavyoweza kupeana tupeaneni ila tusipeane matatizo.Kama wewe mkaka kuna kitu unaweza kumpatia mdada mpatie,na wewe mdada kama unakitu cha kumpatia mkaka mpatie....ila kumbuka usimpatie matatizo.Tumeletwa duniani tufurahiane na baadaye turudi tusikokujua.
ha ha ha ha kwa nini mkuu; welcomeUko sehemu unakamatia kinywaji ninii
Mana ukishachangamka lazma u'simplify maisha😂😂
Chukuuaaa😂😅Ledada naomba
Mawazo yako tuuha ha ha ha kwa nini mkuu; welcome
ha ha ha ha na iwe kweli baasiChukuuaaa😂😅
Ni kweli mkuu,kuna muda wa kutafuta,kutumia na ku-relaxMawazo yako tuu
Sa 2 asubuhi usingesema hivii😂😂😅
Unaomba nini mpendwa?Ledada naomba
ha ha ha atakuwa amepatwa na kigugumiziUnaomba nini mpendwa?
Na ubora pialakini viwe vya utamu tuu