Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

Dalali, unakuta mwenye eneo anataka milion 18 tu, Hii nchi
Piga hesabu msingi umekula tofali 4elf za inchi 6 Kila moja 1400 ,kifusi Lori kumi na Tano kwa sh, 300 kila lori
 
Piga hesabu msingi umekula tofali 4elf za inchi 6 Kila moja 1400 ,kifusi Lori kumi na Tano kwa sh, 300 kila lori
KIWANJA barabara kuu ya kwenda singida au morogoro ukipata chini ya mil20 itakuwa zaidi ya km30 toka katikati ya jiji
 
Magufuli aliwaingiza watu mkenge sana, Dodoma ni manispaa tu hiyo siyo Jiji.

Million 50 unapata nyumba Dar tena kilometer chache kwenda City Center.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kwel skuiz pesa yetu haina maana km 65M inanunua sqm 400 tu. Hakuna kijana atatoboa nchi hii. Icho kiwanja ata kingekua Manhattan New York hakiwez kufikia bei hiyo. Acha kuota.
M65 hajui kama unamvuwa mtu magomeni, kinondoni ukienda buza unapata nyumba 2-3[emoji23]
 
We jamaa hauko serious,Dodoma kuna nyumba nyingi za kumalizia tu finishing zinauzwa kuanzia 40-60M,sasa wewe msingi ndio umuuzie MTU 65M??
 
Kwa bei hyo na tena mji wenyewe dodoma... Hata kwa miaka 10 mbele.. Huwez kupata mteja...

Mil 65 dar unapata nyumba iliyokamilika vzr kbsa.. Tena karibu na mji
 
Hivi ni macho yangu ndo hayaoni au tarakimu za dalali ndo zimekosewa?
Yaani MBWANGA sijui NALA,CHIGONGWE,LUGALA kwa Milioni 65??
We dalali utakuwa mgeni Dodoma wewe!
Hata Bahiroad watu wana nunua Milioni 50 ndo Town kati kabisaaa
 
Hata kisasa hawauzi bei hiyo, we nala huko utamuuzia nani kwa hiyo bei?
 
Usawa huu hela ilivyokuwa ngumu, halafu ununue kiwanja cha sqm 400+ chenye msingi kwa milioni 65! Utani mkubwa sana huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…