mnapatikana wapi ?
bei ya kuku mmoja mnauzaje?
tangazo limesema mnauza vifaranga, content inaongelea mayai. Hebu toa maelezo yaliyokamilikaO
Offc zetu zipo Mbezi shule Ni kituo mbele ya tanki bovu. Jilani Na jengo la mbez park.
Kuku kwasasa hatuuzi
Nahitaji Saso na LayersBei zetu Ni nafuu Sana.na Vifaranga wana afya. Tupigie sim Ili kutoa oda ya mbegu unayo hitaji. PIA tunauza mayai yakienyeji trey sh12,000
0757783401
Bei ya kifaranga kimoja ni shilingi ngapi?
Mfano bei vifaranga km ifuatavyoBei zetu Ni nafuu Sana.na Vifaranga wana afya. Tupigie sim Ili kutoa oda ya mbegu unayo hitaji. PIA tunauza mayai yakienyeji trey sh12,000
0757783401
Bei ya kifaranga kimoja ni shilingi ngapi?
Sawa mkuu.Bei za vifaranga ni kama ifuatavyo.Mfano bei vifaranga km ifuatavyo
1.sasso bei....
2.broiler bei....
3......
4....
Tusaidie tupunguze maswali
Nahitaji Saso na Layers
Mnauza kifaranga bei gani na upatikanaji wake ukoje ?
Nikweli tunajifunza dia. Sio wote wanauzoefu wakutumia mitandao juu ya matangazo. Asante kwa elimu.Jifunzeni kuandika matangazo ya biashara kila siku watu wanaelekezwa humu.Unatoa tangazo halieleweki kisha unashangaa kukosa wateja.
Kichwa cha habari umezungumzia vifaranga,lakini bei ya vifaranga hakuna,chaajabu mayai ambayo hayapo kwenye kichwa cha habari bei umetaja.
Tangazo zuri na lisiloleta maswali kwa mteja(lililokamilika) lina mchango mkubwa sana kwenye kupata wateja.
Kazi njema.