Tunauza uyoga (oyster mushroom)

Tunauza uyoga (oyster mushroom)

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
884
Reaction score
1,296
wanajamvi,tunauza uyoga kwa yeyote anayehitaji,tunaweza kukupatia kilo kumi(10kg)kila siku,in good packaging of 0.5kg and 1kg,ni fresh oyster mushroom,ni mzuri mweupe wa kuvutia,pia uyoga ni mzuri kwa afya yako,for buyers ni pm or unaweza tuma email kwa tzmushroom@gmail.com
{http://www.livestrong.com/article/348755-oyster-mushroom-health-benefits/}
 
Mkuu Mb-one
weka uzuri wa uyoga tufanyie kazi!

mkuu uyoga ina vitamins za kutosha,pia inaongeza CD-4,ni nzuri kwa wagonjwa wa ukimwi,high blood pressure,kisukari,na pia ina madini ya kutosha kwa ajili ya mwili wako,pia ina ladha nzuri mfano wa nyama,au maini,supu yake ni tamu kupita maelezo,pia ni rahisi kupika,haiitaji ustadi mkubwa kwenye upikaji,
 
wanajamvi,tunauza uyoga kwa yeyote anayehitaji,tunaweza kukupatia kilo kumi(10kg)kila siku,in good packaging of 0.5kg and 1kg,ni fresh oyster mushroom,ni mzuri mweupe wa kuvutia,pia uyoga ni mzuri kwa afya yako,for buyers ni pm or unaweza tuma email kwa tzmushroom@gmail.com
{http://www.livestrong.com/article/348755-oyster-mushroom-health-benefits/}

Weka bei basi
 
mkuu uyoga ina vitamins za kutosha,pia inaongeza CD-4,ni nzuri kwa wagonjwa wa ukimwi,high blood pressure,kisukari,na pia ina madini ya kutosha kwa ajili ya mwili wako,pia ina ladha nzuri mfano wa nyama,au maini,supu yake ni tamu kupita maelezo,pia ni rahisi kupika,haiitaji ustadi mkubwa kwenye upikaji,
Ukitaka ufaudu uyoga upike halafu tupia tui la karanga,utatukana kitimoto!
 
na mimi nataka unapatikana mitaa gani mkuu hapa mjini dsm niko posta Mb-one
 
Last edited by a moderator:
mhhhhhhhh..napendaje uyoga jamani!!!
nakuja pii emu! asante sana!!!
 
Back
Top Bottom