Abdulraheem galambo
New Member
- Mar 19, 2017
- 4
- 2
Kitu dangote tunaipata kwa 10000/ Tandahimba na unaletewa hadi site hayo ya kwenuTunauza cement za Twiga kwa bei ya 11000 hiyo ni 32.5 na 42.5 kwa 11500
Pamoja na VAT tupo msimbazi center daressalaam kwa maelezo zaidi piga 0682489105
Sina uhakika ila nliskiaga jamaa cement yao wanauza nje maan ata bei yao ipo juu kidogo,ubora wke nao upo juu vile vleJe ! ile TEMBO cement ya zamani ambayo nilikuwa naambiwa zege yake ni sawa na jiwe imeishia wapi? na ni kampuni gani sasa hivi saruji yake ni bora kuliko zote baada ya ujio wa dangote?