Tunauza Twiga cement

Tunauza cement za Twiga kwa bei ya 11000 hiyo ni 32.5 na 42.5 kwa 11500
Pamoja na VAT tupo msimbazi center daressalaam kwa maelezo zaidi piga 0682489105
 
Je ! ile TEMBO cement ya zamani ambayo nilikuwa naambiwa zege yake ni sawa na jiwe imeishia wapi? na ni kampuni gani sasa hivi saruji yake ni bora kuliko zote baada ya ujio wa dangote?
 
Dawa ya Dangote imeanza kuwaingia na kuondoa ganzi ya ukiritimba na mirija.

Yaan hakuna kipindi jamaa hawa wametuumiza kama 2010 maana ilifikia sh 17,000 kwa mfuko. Na mtu hukuwa na jinsi
 
Je ! ile TEMBO cement ya zamani ambayo nilikuwa naambiwa zege yake ni sawa na jiwe imeishia wapi? na ni kampuni gani sasa hivi saruji yake ni bora kuliko zote baada ya ujio wa dangote?
Sina uhakika ila nliskiaga jamaa cement yao wanauza nje maan ata bei yao ipo juu kidogo,ubora wke nao upo juu vile vle
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom