Tunauza Perfume na gifts set

Manukato hukamilisha muonekano wako..ni muhimu kama ilivyo kuvaa nguo nzur za kupendeza....nunua leo manukato upendayo kwa gharama nafuu...tupigie 0626309195 tukuhudumie..
 
perfumes zenye harufu nzuri,muonekano mzuri.za kike na kiume zinapatkana kwa 20,000/=
 
Tungetumia Majukwaa kama haya inavyotakiwa,
Tija ya mtandao hakika tungeiona badala ya kuleta mzaha pasipoti mahala pake.

Nimeipenda juhudi yako mleta Uzi na nina nia ya kukuungisha.
Hasa hiyo Ocean brand yako.
Labda tena uniangushe wewe mwenyewe.

Nimekupigia kwa Private namba inayoishia na. . 88
Ukaniahidi kitu, Tekeleza tafadhali.

Hao wanaoleta dhihaka kwenye vitu serious tuwapuuze tu.

Asante.
 
Ahsantee kwa kutuchagua sis ..karibu Sana..naahidi sitokuangusha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…