M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 159 Reaction score 127 Jun 2, 2022 #1 Nyumba inapatikana Vingunguti Spenco, ina vyumba sita kwa ndani kimoja kwa nje. Vyumba, vyote sita vina. wapangaji. Wahi chapu chapu ubahatike, mwenye nyumba ana shida zake. Piga namba 0677089280 kwa maelekezo zaidi.
Nyumba inapatikana Vingunguti Spenco, ina vyumba sita kwa ndani kimoja kwa nje. Vyumba, vyote sita vina. wapangaji. Wahi chapu chapu ubahatike, mwenye nyumba ana shida zake. Piga namba 0677089280 kwa maelekezo zaidi.
Chaukarange Member Joined Apr 19, 2020 Posts 63 Reaction score 167 Jun 2, 2022 #2 Yale mabwawa ya majitaka kunaifanya Spenco ardhi yake ipoteze thamani kabisa
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,164 Reaction score 43,859 Jun 2, 2022 #3 Chaukarange said: Yale mabwawa ya majitaka kunaifanya Spenco ardhi yake ipoteze thamani kabisa Click to expand... Hivi huko ndo kuna hayo mabwawaa??? Ndo maana magari ya maji taka pande zile hayaishiii
Chaukarange said: Yale mabwawa ya majitaka kunaifanya Spenco ardhi yake ipoteze thamani kabisa Click to expand... Hivi huko ndo kuna hayo mabwawaa??? Ndo maana magari ya maji taka pande zile hayaishiii
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,217 Jun 2, 2022 #4 Bei nzuri,ila huo ukuta unanipa mashaka sana kuhusu ardhi ya hilo eneo...
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,917 Jun 2, 2022 #5 stephot said: Bei nzuri,ila huo ukuta unanipa mahsaka sana kuhusu ardhi ya hilo eneo... Click to expand... Hapo unanunua kiwanja mkuu
stephot said: Bei nzuri,ila huo ukuta unanipa mahsaka sana kuhusu ardhi ya hilo eneo... Click to expand... Hapo unanunua kiwanja mkuu
Chaukarange Member Joined Apr 19, 2020 Posts 63 Reaction score 167 Jun 2, 2022 #6 rikiboy said: Hivi huko ndo kuna hayo mabwawaa??? Ndo maana magari ya maji taka pande zile hayaishiii Click to expand... Ndio huko wanapomwagia, sasa vuta picha harufu wanayokumbana nayo wakazi wa hayo maeneo
rikiboy said: Hivi huko ndo kuna hayo mabwawaa??? Ndo maana magari ya maji taka pande zile hayaishiii Click to expand... Ndio huko wanapomwagia, sasa vuta picha harufu wanayokumbana nayo wakazi wa hayo maeneo
Haji Mashaka Nassoro JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 384 Reaction score 851 Jun 2, 2022 #7 Chaukarange said: Ndio huko wanapomwagia, sasa vuta picha harufu wanayokumbana nayo wakazi wa hayo maeneo Click to expand... Nyumba ukuta umeliwa na chumvichumvi
Chaukarange said: Ndio huko wanapomwagia, sasa vuta picha harufu wanayokumbana nayo wakazi wa hayo maeneo Click to expand... Nyumba ukuta umeliwa na chumvichumvi
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,116 Reaction score 18,601 Jun 2, 2022 #8 Kodi bei gani ?
M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 159 Reaction score 127 Jun 2, 2022 Thread starter #9 Chaukarange said: Ndio huko wanapomwagia, sasa vuta picha harufu wanayokumbana nayo wakazi wa hayo maeneo Click to expand... Ile ni nyumba ya kufanya ukarabati mdogo then,unaendelea kula zako kodi kila mwezi.Hati yake ni leseni ya makazi.
Chaukarange said: Ndio huko wanapomwagia, sasa vuta picha harufu wanayokumbana nayo wakazi wa hayo maeneo Click to expand... Ile ni nyumba ya kufanya ukarabati mdogo then,unaendelea kula zako kodi kila mwezi.Hati yake ni leseni ya makazi.
M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 159 Reaction score 127 Jun 2, 2022 Thread starter #10 Chaukarange said: Yale mabwawa ya majitaka kunaifanya Spenco ardhi yake ipoteze thamani kabisa Click to expand... Ndo maana offer ni 7m.Ukitaka view yake vizuri nicheki nikutumie video kwa watsaap.
Chaukarange said: Yale mabwawa ya majitaka kunaifanya Spenco ardhi yake ipoteze thamani kabisa Click to expand... Ndo maana offer ni 7m.Ukitaka view yake vizuri nicheki nikutumie video kwa watsaap.
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 7,283 Reaction score 12,685 Jun 2, 2022 #11 vyumba sita kodi yake kwa mwezi ni sawa na nikinunua bajaji??(Bajaji ni 20,000 kwa siku)
M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 159 Reaction score 127 Jun 2, 2022 Thread starter #12 Mcqueenen said: vyumba sita kodi yake kwa mwezi ni sawa na nikinunua bajaji??(Bajaji ni 20,000 kwa siku) Click to expand... Bajaji inashuka thamani na kuna risk ya ajali.Nyumba hadi vitukuu wataifaidi.Kupanga ni kuchagua!
Mcqueenen said: vyumba sita kodi yake kwa mwezi ni sawa na nikinunua bajaji??(Bajaji ni 20,000 kwa siku) Click to expand... Bajaji inashuka thamani na kuna risk ya ajali.Nyumba hadi vitukuu wataifaidi.Kupanga ni kuchagua!
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,116 Reaction score 18,601 Jun 2, 2022 #13 kawombe said: Kodi bei gani ? Click to expand... Jibu hili
M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 159 Reaction score 127 Jun 2, 2022 Thread starter #14 kawombe said: Jibu hili Click to expand... Mwenye nia anitafute ili akaone na akaulize wapangaji hizo kodi.
kawombe said: Jibu hili Click to expand... Mwenye nia anitafute ili akaone na akaulize wapangaji hizo kodi.
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,551 Reaction score 10,798 Jun 2, 2022 #15 mwaps said: Mwenye nia anitafute ili akaone na akaulize wapangaji hizo kodi. Click to expand... Hili tangazo ungelibandika huko kwa wapangaji.
mwaps said: Mwenye nia anitafute ili akaone na akaulize wapangaji hizo kodi. Click to expand... Hili tangazo ungelibandika huko kwa wapangaji.
mkushi wa kushi JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 657 Reaction score 995 Jun 2, 2022 #16 Nyumba Ina fangasi mpka basi mamaaaeeeh
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 Jun 2, 2022 #17 mwaps said: Bajaji inashuka thamani na kuna risk ya ajali.Nyumba hadi vitukuu wataifaidi.Kupanga ni kuchagua! Click to expand... Ajali ni popote
mwaps said: Bajaji inashuka thamani na kuna risk ya ajali.Nyumba hadi vitukuu wataifaidi.Kupanga ni kuchagua! Click to expand... Ajali ni popote
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,116 Reaction score 18,601 Jun 2, 2022 #18 Championship said: Hili tangazo ungelibandika huko kwa wapangaji. Click to expand... Ndioooooo
M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 159 Reaction score 127 Jun 6, 2022 Thread starter #19 Mjengo bado upo sokoni!
M mwaps Senior Member Joined Jan 6, 2014 Posts 159 Reaction score 127 Jun 6, 2022 Thread starter #20 Karibuni kuwekeza ktk nyumba!